Fabiola wa Roma
Fabiola wa Roma (karne ya 4 - 27 Desemba 399) alikuwa daktari mwanamke mwenye hadhi na heshima wa Roma ya Kale ambaye, kwa ushawishi wa Babu wa Kanisa Jeromu, alikataa furaha zote za kidunia na kujitolea kwa mazoezi ya juhudi ya Kikristo[1] na kuelekeza matunda ya toba yake kwenye kazi za hisani kwa fukara, alivyoshuhudia Jeromu mwenyewe katika barua yake ya mwaka 400.[2]
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 27 Desemba[3].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Kirsch, Johann Peter. "St. Fabiola." The Catholic Encyclopedia Vol. 5. New York: Robert Appleton Company, 1909. 26 November 2021
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/83300
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |