Open main menu
Mt. Francis Blanco

Fransisko Blanco alikuwa padri wa shirika la Ndugu Wadogo Pekupeku kutoka Hispania na mmisionari aliyefia dini Japani (+1597).

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake na ya wafiadini wenzake huadhimishwa kila mwaka tarehe 6 Februari.

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fransisko Blanco kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.