Filipo wa Yesu

Filipo wa Yesu (1572 - 1597) alikuwa bradha wa shirika la Ndugu Wadogo Pekupeku kutoka Meksiko na mmisionari aliyefia dini Japani .

Sanamu ya Mt. Felipe wa Yesu kwenye Museo del Virreinato, Tepotzotlán, Meksiko.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake na ya wafiadini wenzake huadhimishwa kila mwaka tarehe 6 Februari[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.