Fransisko Saveri Maria Bianchi
Fransisko Saveri Maria Bianchi (kwa Kiitalia: Francesco Saverio Maria Bianchi; Arpino, Lazio, 2 Desemba 1743 - Napoli, Campania, 31 Januari 1815) alikuwa padri na mtawa wa shirika la Makleri wa Mt. Paulo, maarufu kama Wabarnaba nchini Italia.
Alitangazwa na Papa Leo XIII kuwa mwenye heri tarehe 22 Februari 1893, tena mtakatifu na Papa Pius XII tarehe 21 Oktoba 1951.
Maisha
haririAlijulikana kwa elimu yake, lakini hasa kwa juhudi zake kwa wanafunzi aliokuwanao na kwa maskini wa mji wa Napoli, hata akaitwa "Mtume wa Napoli"[2][3]. Mwenye karama za pekee, alivutia wengi kufuata kama yeye neema ya Mungu.
Tazama pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ Butler, Alban, Herbert Thurston, and Donald Attwater. Butler's Lives of Saints: Vol. 1.
{{cite book}}
: CS1 maint: multiple names: authors list (link) - ↑ "San Francesco Saverio Maria Bianchi". Santi e beati (kwa Kiitaliano).
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |