Gaetano Errico (Secondigliano, leo katika jiji la Napoli, nchini Italia, 19 Oktoba 1791 - Secondigliano, 29 Oktoba 1860), alikuwa padri mwanzilishi wa shirika la Wamisionari wa Mioyo Mitakatifu ya Yesu na Maria.

Picha yake.

Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri tarehe 14 Aprili 2002, halafu Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 12 Oktoba 2008.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.