Gwido Maria Conforti
Gwido Maria Conforti (3 Machi 1865 – 5 Novemba 1931) alikuwa askofu mkuu mmojawapo wa Kanisa Katoliki nchini Italia na mwanzilishi wa shirika la Wamisionari Wasaveri (tarehe 3 Desemba 1895).
Alisifiwa kwa kutembelea mara nyingi parokia za jimbo lake na kwa kuinua vijana kwa malezi.[1]
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri mwaka 1996 na Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu mwaka 2011.
Picha hariri
-
Sanamu ya Conforti
-
Kaburi la Conforti
Tazama pia hariri
Tanbihi hariri
- ↑ "Blessed Guido Maria Conforti". Saints SQPN. 16 March 2010. Iliwekwa mnamo 17 March 2015. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje hariri
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |