Isdory Tarimo

Mkulima, Mwanasiasa na Mwanamazingira

Isdory Lucas Tarimo (amezaliwa 15 Novemba 1954) ni Mtanzania mwanamazingira, mwanasiasa na mkulima kutoka Mkoa wa Kilimanjaro.

Isdory Tarimo
Amezaliwa15 Novemba 1954
UtaifaMtanzania
Majina mengineIsdory Lucas Tarimo
Kazi yakeMkulima
Mwanasiasa
Mwanamazingira
CheoMkurugenzi wa Tecoso Tanzania
MwenzaIrene Tarimo (m. 1992–present) «start: (1992)»"Marriage: Irene Tarimo to Isdory Tarimo" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Isdory_Tarimo)
Watoto7
Isdory Tarimo

Mwenyekiti TASO (Kanda ya Kaskazini)
Aliingia ofisini 
21 Desemba 2022
mtangulizi Arthur Kitonga Shayo

Diwani Kata Nanjara-Reha
Muda wa Utawala
2000 – 2010
mtangulizi Sabini Mangalili
aliyemfuata Herman Shayo

chama Chama Cha Mapinduzi

Maisha ya awali na kazi hariri

Tarimo ni mwanasiasa mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi CCM. Kabla ya Serikali kugawanya kata ya Nanjara-Reha iliyokuwa na wakazi takribani 26,000, alichaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya Nanjara-Reha, Wilaya ya Rombo kwa mwaka 2000 hadi 2010.[1] [2] [3] [4] [5] Pia ni mwanaharakati wa mazingira akisimamia Taasisi isiyo ya kiserikali inayoshughulika na mazingira, Jumuiya ya Uhifadhi wa Mazingira Tanzania (Tecoso Tanzania).[6] [7] [8]

Shughuli za Kilimo na Utumishi wa Umma hariri

Tarimo ni Katibu Mkuu wa Shirika la Taifa la Wakulima Tanzania, Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA) akiwakilisha tawi la Mkoa wa Kilimanjaro (MVIWAKI).[9] Mwaka 2022, alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Society - TASO) akiwakilisha mikoa ya Kanda ya Kaskazini, Mkoa wa Manyara, Mkoa wa Arusha na Mkoa wa Kilimanjaro.[10]

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isdory Tarimo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.