Jeradi Edwards (pia alijiita: Edward Campion; Ludlow, Shropshire, 1552Canterbury, 1 Oktoba 1588) alikuwa padri kutoka Uingereza.

Mt. Edmundi alivyochorwa.

Baada ya kupewa upadrisho huko Ufaransa (1587), alirudi nchini ili kufanya utume kwa siri ila alikamatwa na hatimaye alinyongwa pamoja na mapadri Robati Wilcox na Kristofa Buxton na mlei Robati Widmerpool katika dhuluma ya malkia Elisabeti I[1].

Alitangazwa mwenye heri na Papa Pius XI mwaka 1929 na mtakatifu na Papa Paulo VI mwaka 1976.

Sikukuu yake huadhimishwa na Wakatoliki tarehe 1 Oktoba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.