Jeradi Majella

Sanamu ya Jeradi Majella ya kabla ya mwaka 1905.

Jeradi Majella (ambaye alizaliwa tarehe 6 Aprili 1726 huko Muro Lucano, Italia – akafariki tarehe 16 Oktoba 1755 huko Caposele) alikuwa bradha wa shirika la Mkombozi.

Alitangazwa na Papa Leo XIII kuwa mwenye heri tarehe 29 Januari 1893 akatangazwa na Papa Pius X kuwa mtakatifu tarehe 11 Desemba 1904.

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.