Eneo bunge la Gatundu Kaskazini
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Gatundu Kaskazini)
Eneo bunge la Gatundu Kaskazini ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili ni moja kati ya majimbo kumi na mawili ya uchaguzi katika Kaunti ya Kiambu.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Lina wodi nne ambazo zote zinatawaliwa na baraza la Kaunti.
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi wa 1997 kutokana na kugawanywa kwa jimbo kuu la uchaguzi la Gatundu.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1997 | Patrick Kariuki Muiruri | SDP | |
2002 | Patrick Kariuki Muiruri | KANU | |
2007 | Clement Kungu Waibara | PICK |
Wodi
haririWodi | |
Wodi | Wapiga Kura waliojisajili |
---|---|
Chania | 11,959 |
Githobokoni | 11,412 |
Gituamba | 9,925 |
Mangu | 12,407 |
Jumla | 45,703 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Gatundu Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |