Eneo bunge la Juja
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Juja)
Eneo bunge la Juja ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo kumi na mawili ya Uchaguzi katika Kaunti ya Kiambu.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1969.
Miji ya Thika, Ruiru, Juja na Kilima Mbogo imo katika Jimbo hili.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo zaidi |
---|---|---|---|
1969 | Gitu Kahengeri | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Peter Kenyatta Muigai | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Gitu Kahengeri | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | George Kamau Muhoho | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | George Kamau Muhoho | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Stephen Rugendo Ndicho | Ford-Asili | |
1997 | Stephen Rugendo Ndicho | SDP | |
2002 | William Kabogo Gitau | Sisi kwa Sisi | |
2007 | George Thuo | PNU |
Lokesheni na Wodi
haririLokesheni | |
Lokesheni | Idadi ya Watu* |
---|---|
Gatuanyaga | 18,975 |
Juja | 43,505 |
Ruiru | 115,885 |
Munisipali ya Thika | 94,372 |
Jumla | 272,737 |
sensa ya 1999. |
Wards | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha | Utawala wa Eneo |
---|---|---|
Githurai Kimbo | 10,117 | Ruiru munisipali |
Gitothua | 9,101 | Munisipali ya Ruiru |
Kahawa Sukari | 5,910 | Munisipali ya Ruiru |
Murera | 7,616 | Munisipali ya Ruiru |
Viwanda / Biashara | 7,767 | Munisipali ya Ruiru |
Biashara | 7,503 | Thika Munisipali |
Hospital | 4,956 | Munisipali ya Thika |
Kiganda | 6,473 | Munisipali ya Thika |
Komu | 9,313 | Munisipali ya Thika |
Majengo | 3,429 | Munisipali ya Thika |
Market | 4,841 | Munisipali ya Thika |
Mugumoini | 7,613 | Munisipali ya Thika |
Ndururumo | 5,714 | Munisipali ya Thika |
Gatuanyaga | 7,897 | Thika county |
Juja | 6,878 | Thika county |
Kalimoni | 6,691 | Thika county |
Jumla | 111,819 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje
hariri- Eneo Bunge la Juja Archived 12 Machi 2009 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Juja kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |