Eneo bunge la Kisumu Magharibi
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Kisumu Mjini Magharibi)
Eneo bunge la Kisumu Magharibi ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Kisumu miongoni mwa majimbo saba ya kaunti hiyo. Lina wodi 11, zote zikichagua madiwani kwa munisipali ya Kisumu.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1997 kwa kugawanywa kwa jimbo kubwa la Kisumu Mjini.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1997 | Job Omino | NDP | |
2002 | Job Omino | NARC | |
2003 | Kennedy Odhiambo Nyagudi | NARC | Uchaguzi Mdogo |
2007 | John Olago Aluoch | ODM |
Wodi
haririWodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
---|---|
Aerodrome | 2,676 |
Kaloleni / Shauri Moyo | 3,623 |
Kibuye | 5,655 |
Kisumu Central | 9,054 |
Kisumu East | 5,347 |
Kisumu North | 4,873 |
Market | 7,478 |
Milimani | 8,441 |
Railway | 11,855 |
South West Kisumu | 6,724 |
Stadium | 5,307 |
Jumla | 71,033 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kisumu Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |