Eneo bunge la Nyakach
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Nyakach)
Eneo bunge la Nyakach ni Jimbo la uchaguzi la Kenya linalopatikana katika Kaunti ya Kisumu. Jimbo hili lina Wadi tisa, zote zikiwatuma madiwani katika Baraza la mtaa Nyando County.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1966, wakati lilitawanywa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Nyando [1].
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [2] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1966 | M. Ondieki -Chillo | KANU | |
1969 | James Dennis Akumu | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Samson Odoyo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Ojwang K’Ombudo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | Ojwang K’Ombudo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | Ojwang K’Ombudo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | James Dennis Akumu | Ford-K | |
1997 | Peter Ochieng Odoyo | NDP | |
2002 | Peter Ochieng Odoyo | NARC | |
2007 | Pollyins Ochieng Anyango | ODM |
Wodi
haririWodi | |
Wodi | Wapigakura Waliojiandikisha |
---|---|
Central Nyakach / Nyalunya | 5,031 |
East Nyakach | 2,270 |
North East Nyakach | 4,749 |
North Nyakach / Rang'ul | 4,079 |
Pap Onditi | 5,377 |
Sigoti | 3,789 |
South Nyakach | 5,776 |
South West Nyakach | 5,850 |
Thurdibuoro / West Nyakach | 8,764 |
Jumla | 45,685 |
*Septemba 2005 [3].
|
Tazama Pia
haririMrejeo
hariri- ↑ Nyando Constituency: About Nyando Constituency Ilihifadhiwa 2 Machi 2011 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje
hariri- Nyakach Constituency Ilihifadhiwa 27 Julai 2010 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Nyakach kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |