Kateri Tekakwitha
Kateri Tekakwitha (kwa lugha yake ya Kimohawk jina linatamkwa ˈgaderi degaˈgwita) aliishi tangu mwaka 1656 hadi 17 Aprili 1680; alizaliwa Ossernenon, leo Auriesville, New York, Marekani, akafariki Kahnawake, Quebec Canada[1].
Mtoto wa familia ya wakazi asili wa Amerika Kaskazini, anajulikana hasa kwa imani na maadili yake ya Kikristo, dini aliyojiunga nayo kwa kubatizwa na padri wa Kanisa Katoliki[2][3] kwenye Pasaka ya mwaka 1676, akaendelea nayo bila kujali vitisho na upinzani wa ndugu zake, akishika pia usafi wa moyo aliokuwa amenuia kuutunza tangu kabla ya kuwa Mkristo.
Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri tarehe 22 Juni 1980, halafu Papa Benedikto XVI akamtangaza mtakatifu tarehe 21 Oktoba 2012. Ni wa kwanza kutoka makabila ya Waindio.
Anaheshimiwa kama mtakatifu bikira, hasa tarehe ya kifo chake[4].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Pierre Cholence, S.J., "Catharinae Tekakwitha, Virginis" (1696), Acta Apostolica Sedis, 30 Januari 1961
- ↑ Pierre Cholenec, S.J. (1696). The Life of Catherine Tekakwitha, First Iroquois Virgin. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-25. Iliwekwa mnamo 2012-02-18.
- ↑ Claude Chauchetiere, S.J. (1695). "The Life of the Good Catherine Tekakwitha, said now Saint Catherine Tekakwitha". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-25. Iliwekwa mnamo 2012-02-18.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
hariri- Bechard, Henri. "Tekakwitha". Dictionary of Canadian Biography (Toronto: University of Toronto Press, 1966), vol. 1.
- Sargent, Daniel. Catherine Tekakwitha. New York and Toronto: Longmans, Green and Co., 1936.
- Shoemaker, Nancy. "Kateri Tekakwitha's Tortuous Path to Sainthood," in Nancy Shoemaker, ed. Negotiators of Change: Historical Perspectives on Native American Women (New York: Routledge, 1995), p. 49–71.
- Steckley, John. Beyond their Years: Five Native Women's Stories, Canadian Scholars Press 1999 ISBN 978-1551301501
Viungo vya nje
hariri- Darren Bonaparte (Mohawk), A Lily Among Thorns: The Mohawk Repatriation of Káteri Tekahkwí:tha, Wampum Chronicles, 2008
- "Kateri Tekakwitha", Canadian Dictionary of Biography Online
- Kateri Tekakwitha website Ilihifadhiwa 27 Juni 2012 kwenye Wayback Machine.
- "Blessed Kateri Tekakwitha" Ilihifadhiwa 2 Oktoba 2003 kwenye Wayback Machine., Catholic Forum
- "Kateri's Life" Ilihifadhiwa 21 Oktoba 2016 kwenye Wayback Machine., Lily of the Mohawks website
- Father Claude Chauchetière, "The Life of Catherine Tekakwitha" Ilihifadhiwa 25 Julai 2011 kwenye Wayback Machine., 1695
- "Blessed Kateri, Model Ecologist" Ilihifadhiwa 13 Agosti 2006 kwenye Wayback Machine., Conservation
- "Blessed Kateri Tekakwitha". New Advent Catholic Encyclopedia.
- Barbara Bradley Hagerty, "A Boy, An Injury, A Recovery, A Miracle?", NPR, 4 Novemba 2011
- LORRAINE MALLINDER, "Holy Rivalry Over Kateri" Ilihifadhiwa 20 Aprili 2015 kwenye Wayback Machine., Montreal Gazette, 20 Machi 2010
- "Sketch of Life of Indian Maid, Kateri Tekakwitha" Ilihifadhiwa 4 Machi 2016 kwenye Wayback Machine. from 23 Aprili 1915 issue of the Recorder-Democrat a semiweekly publication, Amsterdam, NY
- Account of location of Ossernon birthplace Ilihifadhiwa 20 Aprili 2015 kwenye Wayback Machine. written by Jesuit Fr. Loyzance (the original purchaser of the land at Auriesville) from St. Johnsville Enterprise and News 28 Novemba 1934
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |