Ketubimu (כתובים, Ketuvim, wingi wa ketuv, ambalo ni sawa na Kiarabu/ Kiswahili "kitab/kitabu") ni sehemu ya tatu na ya mwisho ya Biblia ya Kiebrania (תנ״ך, Tanakh, kifupisho kinachounganisha herufi tatu "T" - "N" - "Kh" ambazo ni mianzo ya maneno matatu ya Kiebrania yanayotaja sehemu tatu ndani ya Biblia ya Kiebrania: Torati, Neviim, Ketuvim).

Tanakh: maandishi ya nje ya Kiebrania yasema "Torah - Neviim - Ketuvim".

Vitabu hivi hugawanywa katika kundi za:

Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ketubimu kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.