Luisa wa Marillac (Le Meux, Oise, 12 Agosti 1591Paris, 15 Machi 1660) ni mwanamke wa Ufaransa maarufu kwa kuanzisha pamoja na Vinsenti wa Paulo shirika la kitawa la Mabinti wa Upendo baada ya kufiwa mumewe akiliongoza kwa mfano wake katika kuhudumia maskini.

Mt. Luisa.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki: Papa Benedikto XV alimtangaza mwenye heri tarehe 9 Mei 1920, halafu Papa Pius XI alimtangaza mtakatifu tarehe 11 Machi 1934.

Sikukuu yake imehamishiwa tarehe 15 Machi[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

A. RICHARTZ, Luisa wa Marillac, Mama asiye wa kawaida – tafsiri ya Masista wa Huruma wa Mt. Vinsenti wa Paulo – ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Peramiho 1995 – ISBN 9976-67-095-8

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.