Majadiliano ya Wikipedia:Makala ya wiki

Latest comment: miaka 4 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Pendekezo la kufuta makala za zamani

Elezo:

Ukitaka kupeleka makala hapa (itaonekana baadaye kwenye ukurasa wa Mwanzo kwa kubadilishana na nyingine)

  1. A) Chagua makala unaotaka kuonyesha kwenye ukurasa wa kwanza
  2. B) tunga hitimisho fupi ya makala hii (si zaidi ya alama 1100) na kuihifadhi kwa jina la Wikipedia:Makala ya wiki/XXXXXXX - badala ya XXXXXXX andika jina la makala
  3. Andika jina la makala uliyotunga hapa badala ya jina la nyingine. Usiongeze idadi kwa jumla!
  4. katika makala hii kopi Kigezo:Makala ya wiki
|jina= (jina la makala) Badala ya mabano andika jina la makala.
|picha= (jina la picha) Badala ya mabano andika jina la faili ya picha.
|nakala ya picha = (matini itakayoonekana chini ya picha) Badala ya mabano andika maelezo ya picha.
|makala = (sehemu ya makala uliyochagua - izizidi alama 1100 - 1150) Badala ya mabano andika sehemu ya makala uliyochagua - izizidi alama 1100. Tofauti na kawaida weka maneno ya kwanza yenye jina la makala kwa mabano mraba mfano [[Wolfgang Amadeus Mozart]] maanake hii inasidia kufungua makala yenyewe.

Kipala (majadiliano) 20:06, 1 Februari 2017 (UTC)Reply

Mapendekezo

hariri

makala moja/moja kutoka jamii tofauti kama vile watu, afya/maradhi, historia, jiografia, Muziki, filamu, lugha/michezo, Afrika ya Mashariki, sayansi (orodha ya jumla kurasa 8)

Orodha 1

hariri

Orodha 2

hariri

Pendekezo la kufuta makala za zamani

hariri

Wazee wangu, kumekuwa na makala zimekaa miaka sasa. Tufute zote na tuweke mpya. Jeshi la TZ, sijui Mbaraka Mwinshehe na wengine. Tuanze upya. Isitoshe, sasa tuna wakabidhi wengi—itakuwa rahisi kuboresha mara kwa mara.--'Muddyb Mwanaharakati' 'Longa' 09:17, 24 Septemba 2020 (UTC) Reply

Napendekeza Makala ya Jeshi la wananchi wa Tanzania ifutwe, pia ihaririwe upya labda itarudishwa kwenye orodhaCzeus25 Masele (majadiliano) 11:35, 15 Desemba 2020 (UTC)Reply
Tafadhali usipendekeze kitu, chukua hatua. Ukipenda ubadilishe kila wiki seti mpya kabisa. Kipala
(majadiliano) 13:27, 15 Desemba 2020 (UTC)Reply
Czeus25, ni kweli asemavyo mzee. Nenda makalani, ipitie na iboreshe kwa kadiri utakavyoona inafaa. Pia, uweke mapendekezo mapya na kuyatekeleza!--Muddyb Mwanaharakati Longa 06:44, 16 Desemba 2020 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa mradi " Makala ya wiki ".