Margaret Clitherow

Margaret Clitherow (155625 Machi 1586) alikuwa mwanamke Mwingereza aliyebadilisha imani yake ya dini kutoka Ushirika wa Anglikana kuingia Kanisa Katoliki.

Margaret Clitherow, the Pearl of York.

Kwa vile aliwaficha mapadri nyumbani mwake na kuhudhuria misa ya Kikatoliki, alishtakiwa mahakamani na kuuawa.

Mwaka 1970 alitangazwa na Papa Paulo VI kuwa mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 25 Machi[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

  • Peter Lake and Michael Questier: The Trials of Margaret Clitherow: Persecution, Martyrdom and the Politics of Sanctity in Elizabethan England: New York/London: Continuum: 2011|: ISBN 1-4411-0436-4

Viungo vya njeEdit

MargaretEdit

WatotoEdit

MahaliEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.