Mke wa Rais wa Tanzania

Kigezo:Infobox official post

Tanzania

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Tanzania



Zanzibar

Nchi zingine · Atlasi

Mke wa Rais wa Tanzania ni cheo kisicho rasmi kinachoshikiliwa na mke wa Rais wa Tanzania.[1] Kwa sasa hakuna mke wa rais nchini kwa sababu rais mwenyewe ni mwanamke, Samia Suluhu Hassan.

Wake wa marais wa Tanzania, tangu zamani kwa kawaida huitwa jina la "Mama" ndani ya Tanzania. Miaka ya hivi karibuni kulikuwa na mijadala mingi kwelikweli kuhusu suala la kuongeza umaarufu wa wake za marais wa Tanzania.[1] Kumekuwa na mapendekezo pia na kupelekwa bungeni katika kurasimisha ofisi ya Mke wa Rais.[1]

Wake wa Marais wa Tanzania

hariri
#
Mke
Tarehe ya kuanza kipindi Tarehe ya kuisha kipindi Rais
(Mume)
01.01 Maria Nyerere 1 Novemba 1964 5 Novemba 1985 Julius Nyerere
02.02 Siti Mwinyi 5 Novemba 1985 23 Novemba 1995 Ali Hassan Mwinyi
03.03 Anna Mkapa 23 Novemba 1995 21 Desemba 2005 Benjamin Mkapa
04.04 Salma Kikwete 21 Desemba 2005 5 Novemba 2015 Jakaya Kikwete
04.05 Janeth Magufuli 5 Novemba 2015 17 Machi 2021 John Magufuli

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 1.2 Mugarula, Florence. "Tanzania: Let First Ladies Be", The Citizen (Tanzania), AllAfrica.com, 2010-09-11. Retrieved on 2010-09-08.