Jimbo la Somali

(Elekezwa kutoka Mkoa wa Somali)



Jimbo la Somali (kwa Kisomali: Gobolka Soomaalida) ni moja ya majimbo 11 ya kujitawala ya Ethiopia.

Gobolka Soomaalida
Jimbo la Somali

Bendera
Mahali paGobolka Soomaalida Jimbo la Somali
Mahali paGobolka Soomaalida
Jimbo la Somali
Mahali pa jimbo la Somali katika Ethiopia
Nchi Bendera ya Ethiopia Ethiopia
Mji mkuu Jijiga
Eneo
 - Jumla 279,252 km²
Idadi ya wakazi (2001)
 - Wakazi kwa ujumla 4.329.000

Idadi ya wakazi wake ni takriban 4.329.000.

Makao makuu ni Jijiga.

Tazama pia

hariri


 
Majimbo ya Ethiopia
 
Addis Abeba | Afar | Amhara | Benishangul-Gumuz | Dire Dawa | Gambela | Harar | Oromia | Sidama | Somali | Mataifa ya Kusini | Tigray
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Somali kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.