Osmundi wa Salisbury

Osmundi wa Salisbury (Seez, Normandy, leo nchini Ufaransa - Salisbury, leo nchini Uingereza, 3 Desemba au 4 Desemba 1099) alikuwa chansela wa ufalme wa Uingereza (1070-1078 hivi) chini ya William I wa Uingereza, ndugu wa mzazi wake, [1], halafu askofu wa pili wa Salisbury [2].

Sanamu ya rangi ya Mt. Osmundi.

Alikamilisha na kutabaruku kanisa kuu akashughulikia vizuri jimbo lake na heshima katika ibada [3].

Papa Kalisti III alimtangaza kuwa mtakatifu tarehe 1 Januari 1457.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Desemba[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • British History Online Bishops of Salisbury Ilihifadhiwa 19 Julai 2011 kwenye Wayback Machine. accessed on 30 October 2007
  •   This article incorporates text from a publication now in the public domainHerbermann, Charles, ed. (1913). Catholic Encyclopedia. Robert Appleton Company.
  • Fryde, E. B.; Greenway, D. E.; Porter, S.; Roy, I. (1996). Handbook of British Chronology (tol. la Third revised). Cambridge: Cambridge University Press. ISBN 0-521-56350-X.
  • Swanson, R. N. (1995). Religion and Devotion in Europe, c. 1215-c. 1515. Cambridge Medieval Textbooks. Cambridge, UK: Cambridge University Press. ISBN 0-521-37950-4.

Marejeo mengine

hariri
  • Stroud, Daphne (Fall 1983). "St Osmund — Some Contemporary Evidence". The Hatcher Review. 2 (16): 243–250.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • Greenway, Diana E. (1999). Saint Osmund: Bishop Of Salisbury 1078–1099, And Founder Of The Cathedral At Old Sarum. RJL Smith & Associates. ISBN 978-1872665238.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.