Papa Benedikto I
Papa Benedikto I (jina la awali: Benedikto Bonosio) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2 Juni 575 hadi kifo chake tarehe 30 Julai 579.
Alimfuata Papa Yohane III akafuatwa na Papa Pelagio II.
Maisha yakeEdit
Ndiye aliyemtoa monasterini na kumfanya shemasi yule atakayekuwa Papa Gregori I.
Viungo vya njeEdit
- Kuhusu Papa Benedikto I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
- [1] Archived Juni 18, 2012 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |