Papa Yohane III alikuwa Papa kuanzia tarehe 17 Julai 561 hadi kifo chake tarehe 13 Julai 574[1]. Alitokea Roma, Italia[2], alipozaliwa kwa jina la Johannes Catelinus.

Papa Yohane III.

Alimfuata Papa Pelagio I akafuatwa na Papa Benedikto I.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.