Papa Innocent IX
Papa Innocent IX (20 Julai 1519 – 30 Desemba 1591) alikuwa Papa kuanzia tarehe 29 Oktoba 1591 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Antonio Facchinetti.
Alimfuata Papa Gregori XIV akafuatwa na Papa Klementi VIII.
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent IX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |