Papa Innocent IX
(Elekezwa kutoka Papa Inosenti IX)
Papa Innocent IX (20 Julai 1519 – 30 Desemba 1591) alikuwa Papa kwa wiki chache kuanzia tarehe 29 Oktoba/3 Novemba 1591 hadi kifo chake[1]. Alitokea Bologna, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovan Antonio Facchinetti.
Alimfuata Papa Gregori XIV akafuatwa na Papa Klementi VIII.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent IX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |