Papa Julius I

Papa Julius I alikuwa Papa kuanzia tareh 6 Februari, 337 hadi kifo chake tarehe 12 Aprili, 352.

Papa Julius I.

Alimfuata Papa Marko akafuatwa na Papa Liberius.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kwenye tarehe ya kifo chake[1].

Tazama piaEdit

Maandishi yakeEdit

TanbihiEdit

  1. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

MarejeoEdit

  • Duff, Eamon. Saints and Sinners: A History of the Popes, Yale University Press, 2001, pp. 30–32. ISBN 0300091656

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Julius I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.