Papa Liberius
Papa Liberius alikuwa Papa kuanzia tarehe 17 Mei 352 hadi kifo chake tarehe 24 Septemba 366.
Alimfuata Papa Julius I akafuatwa na Papa Damaso I.
Liberius ni Papa wa kwanza ambaye haheshimiwi kama mtakatifu.
Maoni ya Mapapa juu yakeEdit
- Papa Pius IX katika hati Quartus Supra aliandika kwamba Liberius alisingiziwa na Waario na alikataa kumlaani Atanasi wa Aleksandria. [1]
- Papa Benedikto XV katika hati Principi Apostolorum Petro aliandika kwamba Liberius alikubali kupelekwa uhamishoni ili atetee imani sahihi ya Kanisa. [2]
Viungo vya njeEdit
- Kuhusu Papa Liberius katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
- Translation of Jaffe-Kaltenbrunner's Register of the Roman Pontiff.
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Liberius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |