Papa Caio

(Elekezwa kutoka Papa Kayo)
Papa Kayo

Papa Caio alikuwa papa kuanzia 17 Desemba 283 hadi kifo chake tarehe 22 Aprili 296.

Alimfuata Papa Eutychian akafuatwa na Papa Marcellinus.

Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake.

Maandishi yakeEdit

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Caio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.