Paula Frassinetti (Genova, 3 Machi 1809 - Roma, 11 Juni 1882[1]) alikuwa bikira wa Italia kaskazini ambaye, kwa kushinda matatizo mengi, alianzisha shirika la Masista wa Mt. Dorothea kwa ajili ya malezi ya wasichana na mayatima[2], akaliongoza kwa ushujaa na upole[3].

Mt. Paula.

Kwa sasa masista wake wako 1,200 katika Ulaya, Afrika, Asia na Amerika ya Kilatini[4].

Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri tarehe 8 Juni 1930 na Papa Yohane Paulo II mtakatifu tarehe 11 Machi 1984.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 11 Juni[5][6].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "Saint Paula Frassinetti". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-10-21. Iliwekwa mnamo 2008-09-13. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  2. "Joseph S.J., P.J. "St. Paula Frassinetti", Vatican Radio". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-17. Iliwekwa mnamo 2021-06-10.
  3. "Saint Benedetta Cambiagio Frassinello". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 9 Januari 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Aubut, Rebecca. "Sisters of St Dorothy celebrate 100 years in the United States", The Anchor, Diocese of Fall River, Massachusetts". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-15. Iliwekwa mnamo 2021-06-10.
  5. Martyrologium Romanum
  6. ""St. Paula Frassinetti", Catholic Courier, Diocese of Rochester, NY". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-05. Iliwekwa mnamo 2021-06-10.

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.