Siku ya DNA
Siku ya DNA husherehekewa tarehe 25 Aprili kila mwaka kuadhimisha siku ya mwaka 1953, ambapo wanasayansi James Watson, Francis Crick, Maurice Wilkins, Rosalind Franklin na wenzao walichapisha makala katika jarida la Nature juu ya muundo wa DNA. [1][2][3]
Siku ya kimataifa ya DNA | |
---|---|
Muundo wa DNA | |
Husheherekewa na | Wanabaolojia na watu wengine |
Tarehe | 25 April |
Vilevile, mwanzoni mwa Aprili 2003 ilitangazwa kuwa mradi wa seti kamili ya vinasaba (complete genome) vya binadamu ulikuwa karibu sana kukamilika na "mapungufu madogo madogo yaliyosalia yalionekana kuhitaji gharama kubwa sana kuyakamilisha.”[4][5]
Siku ya DNA iliadhimishwa kwa mara ya kwanza nchini Marekani tarehe 23 Aprili 2003 kwa kutangazwa na seneti[6] na baraza la wawakilishi la nchi hiyo.[7] Walakini, walitangaza maadhimisho hayo kwa mwaka huo tu na si kila mwaka. Tangu mwaka 2003 maadhimisho ya siku ya DNA yamekuwa yakiandaliwa na Taasisi ya kitaifa ya utafiti wa Jinomu ya Binadamu (NHGRI) kuanzia 23 Aprili 2010, 25 Aprili 2011 [8] na 20 Aprili 2012.[9] Tokea hapo tarehe 25 Aprili ilitangazwa rasmi kuwa “Siku ya kimataifa ya DNA”[10][11] na “Siku ya DNA Duniani”[12] [13][14] ambayo imekuwa ikiadhimishwa na vikundi mbalimbali.
Kampuni za upimaji wa DNA na wachapishaji wa majarida ya elimu ya vinasaba huendesha minada ya kila mwaka karibu na maadhimisho ya siku ya DNA wakihamasisha umma na kukuza uelewa kuhusiana na huduma zao.[15]
Tanbihi
hariri- ↑ Watson, James Dewey; Crick, Francis Harry Compton (1953-04-25). "Molecular structure of nucleic acids; a structure for deoxyribose nucleic acid" (PDF). Nature. 171 (4356): 737–738. Bibcode:1953Natur.171..737W. doi:10.1038/171737a0. PMID 13054692. S2CID 4253007.
- ↑ Franklin, Rosalind Elsie; Gosling, Raymond (1953-04-25). "Molecular configuration in sodium thymonucleate" (PDF). Nature. 171 (4356): 740–741. Bibcode:1953Natur.171..740F. doi:10.1038/171740a0. PMID 13054694. S2CID 4268222.
- ↑ Wilkins, Maurice Hugh Frederick; Stokes, Alexander Rawson; Wilson, Herbert R. (1953-04-25). "Molecular structure of deoxypentose nucleic acids" (PDF). Nature. 171 (4356): 738–740. Bibcode:1953Natur.171..738W. doi:10.1038/171738a0. PMID 13054693. S2CID 4280080.
- ↑ Noble, Ivan (2003-04-14). "Human genome finally complete". BBC News. Iliwekwa mnamo 2006-07-22.
- ↑ International Human Genome Sequencing Consortium (2004-10-21). "Finishing the euchromatic sequence of the human genome". Nature. 431 (7011): 931–945. Bibcode:2004Natur.431..931H. doi:10.1038/nature03001. PMID 15496913.
- ↑ "A concurrent resolution designating April 2003 as "Human Genome Month" and April 25 as "DNA Day"" (PDF). United States Government Printing Office. 2003-02-27. Iliwekwa mnamo 2012-02-09.
- ↑ "Recognizing the sequencing of the human genome as one of the most significant scientific accomplishments of the past one hundred years and expressing support for the goals and ideals of Human Genome Month and DNA Day". Library of Congress. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-10-07. Iliwekwa mnamo 2011-04-16.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); Unknown parameter|=
ignored (help) - ↑ "Join us April 15 for National DNA Day!". National Human Genome Research Institute. 2011-04-11. Iliwekwa mnamo 2011-04-16.
- ↑ "DNA Day 12". National Human Genome Research Institute. 2011-11-28. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-27. Iliwekwa mnamo 2012-02-09.
- ↑ "International DNA day to be celebrated". Biotechnology Society of Nepal. 2009-06-15. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-06-15. Iliwekwa mnamo 2012-02-09.
- ↑ Finley, Erica (2011-04-21). "Celebrate International DNA Day in Huntsville". Huntsville, Alabama. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-21. Iliwekwa mnamo 2012-02-09.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ "Annual International DNA Day at the University". Vilnius University. 2009-04-06. Iliwekwa mnamo 2012-02-09.
- ↑ "International Consortium Publishes Sequence, Analysis Of The Human Genome". World High Technology Society. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-07-21. Iliwekwa mnamo 2012-02-09.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help) - ↑ "Genomes, Environments and Traits Conference". GET Conference. Iliwekwa mnamo 2012-02-09.
- ↑ MacEntee, Thomas (2019-04-23). "Best Promo Codes, Coupons and Savings on DNA during National DNA Day Sale". National DNA Day (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-25. Iliwekwa mnamo 2020-02-25.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)