Silvia wa Roma (520 hivi - 592 hivi) alikuwa mwanamke Mkristo, mama wa Papa Gregori I na wa mtoto mwingine asiyejulikana kwa jina [2].

Mt. Silvia alivyochorwa, lakini kwa kweli macho yake yalikuwa ya buluu[1].

Baada ya kufiwa mume wake, Gordiani (573), aliishi kama mmonaki wa Kibenedikto[3][4].

Kadiri mwanae alivyoandika, Silvia alifikia vilele vya maisha ya sala na toba, akawa kielelezo bora kwa waliomfahamu [5].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, msimamizi wa wajawazito[6].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Novemba[7].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Monks of Ramsgate. “Sylvia”. Book of Saints, 1921. CatholicSaints.Info. 4 November 2016
  2. Klemens Löffler. “Saint Silvia”. Catholic Encyclopedia, 1913. CatholicSaints.Info. 9 August 2013
  3. [1]
  4. "03.11: Memoria di Santa Silvia Madre di s. Gregorio Magno (verso il 572 a Roma o tra il 590 e il 592)". www.ortodossia.it. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-30. Iliwekwa mnamo 2021-08-13. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  5. https://www.santiebeati.it/dettaglio/76050
  6. “Saint Silvia of Rome”. "New Catholic Dictionary". CatholicSaints.Info. 9 August 2013
  7. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.