Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika

cool boe

Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Kiing. Southern African Development Community kifupi: SADC) iliundwa huko Lusaka, Zambia, tarehe 1 Aprili 1980.

Nchi wanachama za SADC

Jina la awali "Southern African Development Community Conference" (SADCC) lilifupishwa kuwa Southern African Development Community tarehe 17 Agosti 1992.

Nchi wanachama hariri

Wanachama ni: Afrika Kusini, Angola, Botswana, Eswatini, Komoro, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Lesotho, Madagaska, Malawi, Morisi, Msumbiji, Namibia, Shelisheli, Tanzania, Zambia, Zimbabwe. Hivyo ina nchi takribani 16 ndani yake. Pia Burundi imeomba kujiunga.

Makao makuu yake yako Gaborone nchini Botswana.

Faili:Southern African Development Community Headquarters 20 oct 2009.jpg
Makao makuu ya SADC huko Gaborone, Botswana.

Sababu za kuundwa kwa SADC hariri

Malengo ya SADC:

  1. kuleta ulinzi na usalama katika nchi husika
  2. kuleta mshikamano baina ya nchi wanachama
  3. kuongeza na kukuza biashara baina ya nchi hizo

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Gabriël Oosthuizen, The Southern African Development Community: The organisation, its history, policies and prospects. Institute for Global Dialogue: Midrand, South Africa, 2006
  • John McCormick, The European Union: Politics and Policies. Westview Press: Boulder, Colorado, 2004.
  • Muntschick, Johannes, The Southern African Development Community (SADC) and the European Union (EU). Regionalism and External Influence. Palgrave Macmillan: Cham. 2017. ISBN 978-3-319-45330-9
  • Ramsamy, Prega 2003 Global partnership for Africa. Presentation at the human rights conference on global partnerships for Africa’s development, Gaborone: SADC

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Jamii za Kiuchumi za Afrika
Kambi
Nguzo za
Maeneo
Eneo (km²) Idadi ya Watu GDP (PPP) ($US) Wanachama
katika mamilioni kwa kila mtu
AEC 29,910,442 853,520,010 2,053,706 2,406 53
ECOWAS 5,112,903 251,646,263 342,519 1,361 15
ECCAS 6,667,421 121,245,958 175,928 1,451 11
SADC 9,882,959 233,944,179 737,335 3,152 15
EAC 1,817,945 124,858,568 104,239 1,065 5
COMESA 12,873,957 406,102,471 735,599 1,811 20
IGAD 5,233,604 187,969,775 225,049 1,197 7
Sahara
Magharibi
1
266,000 273,008 ? ? N/A 2
Kambi
Nyingine
za Afrika
Eneo (km²) Idadi ya Watu GDP (PPP) ($US) Wanachama
katika mamilioni kwa kila mtu
CEMAC 3 3,020,142 34,970,529 85,136 2,435 6
SACU 3 2,693,418 51,055,878 541,433 10,605 5
UEMOA 3 3,505,375 80,865,222 101,640 1,257 8
UMA 4 5,782,140 84,185,073 491,276 5,836 5
GAFTA 5 5,876,960 166,259,603 635,450 3,822 5
1 Sahrawi Arab Democratic Republic (SADR) ni
mtia sahihi wa AEC, lakini haipo katika Kambi yoyote

2 Wengi wako chini ya jeshi la Moroko
3 Kambi iliyo ndani ya nguzo REC
4 Limependekezwa kuwa na nguzo REC lakini halitaki kushiriki
5 Wanachama wa GAFTA wasio Waafrika wametolewa katika takwimu
     Idadi ndogo zaidi kati ya kambi zilizolinganishwa      Idadi kubwa zaidi kati ya kambi zilizolinganishwa During 2004. Source: CIA World Factbook 2005, IMF WEO Database

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.