The Love Album
The Love Album ni albamu ya nane kutoka kwa kundi maarufu kama Westlife kutoka nchini Ireland. Albamu hii ilitolewa tar. 20 Novemba 2006, dunia nzima. Albamu hii ilitolewa nchini Ufilipino, wiki moja kabla ya kutolewa rasmi dunia nzima na hiyo ikiwa ni tarehe 13 Novemba 2006.[1] Nyimbo katika albamu hii zinahusu zaidi suala zima la mapenzi.
The Love Album | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Westlife | |||||
Imetolewa | 20 Novemba 2006 13 Novemba 2006 |
||||
Imerekodiwa | 2006 | ||||
Aina | Pop, Adult Contemporary | ||||
Urefu | 41:53 | ||||
Lugha | Kiingereza | ||||
Lebo | Sony BMG | ||||
Mtayarishaji | David Kreuger, Per Magnusson (track 3) Larossi, Quiz (tracks: 1, 8) (tracks: 2, 4 to 7, 9, 11) |
||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
|
|||||
Wendo wa albamu za Westlife | |||||
|
Wakati wa ziara ya Face To Face Tour walicheza wimbo wa The Dance katika baadhi ya maeneo, na ikasemekana baadae kuwa wimbo huo ungejumuishwa katika albamu iliyofuatia, na kuwa single ya kwanza, lakini baadae ulikuja kubadilishwa na kuwa The Rose, wimbo pekee uliotoka kama single, wimbo ambao kwa asili umeimbwa ba Bette Midler na kufika hadi nafasi ya 1 katika chati ya muziki ya Uingereza na Jamuhuri ya Ireland. Na hii ikawa ni wimbo wa 14 katika single zao kuwahi kufika katika nafasi ya kwanza hadi wakati huo na huku mwanamuziki Cliff Richard kama mwanamuziki anayeshikilia nafasi ya tatu kwa kuna na single nyingi kuwahi kufika katika nafasi ya kwanza.
Wimbo huu uliimbwa katika mashindano ya Urembo ya Dunia ya mwaka 2006. Single zingine kama vile za "If", "Solitaire" na "Nothing's Gonna Change My Love For You" zilitoka katika upande B. Albamu hii ilifanikiwa kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya Uingereza ya muziki na kufanikiwa kuuza nakala zaidi ya 219,662 nchini Uingereza ndani ya wiki moja pekee. Na kufanikiwa kuziangusha albamu kutoka kwa wanamuziki maashuhuri kama vile Oasis' "Stop the Clocks", The Beatles' albamu ya "Love" na U2 "U218 Singles".[2]
"The Love Album" ilifanikiwa kuuza nakala zaidi ya 1 000 000 nchini Uingereza na kuifanya studio ya Sony BMG kuwa moja ya studio zilizowahi kutengeneza kazi nzuri
Orodha ya nyimbo
hariri# | Jina | Watunzi | Urefu | Asili na |
---|---|---|---|---|
1 | The Rose | Amanda McBroom | 3:39 | Bette Midler |
2 | Total Eclipse of the Heart | Jim Steinman | 6:57 | Bonnie Tyler |
3 | All Out of Love | Graham Russell, Russell Hitchcock, Clive Davis | 3:44 | Air Supply |
4 | You Light Up My Life | Joe Brooks | 3:27 | Debbie Boone |
5 | Easy | Lionel Richie | 4:26 | The Commodores |
6 | You Are So Beautiful (To Me) | Billy Preston, Dennis Wilson, Bruce Fisher | 3:03 | Billy Preston |
7 | Have You Ever Been in Love | Andy Hill, Peter Sinfield, John Danter | 3:41 | Gem |
8 | Love Can Build a Bridge | John Barlow Jarvis, Naomi Judd, Paul Overstreet | 3:55 | The Judds |
9 | The Dance | Anthony Arata | 3:58 | Garth Brooks |
10 | All or Nothing | Steve Mac, Wayne Hector | 3:56 | O-Town |
11 | You've Lost That Loving Feeling | Phil Spector, Barry Mann, Cynthia Weil | 3:25 | The Righteous Brothers |
12 | Solitaire (Japanese Bonus Track) | Neil Sedaka, Phil Cody | 5:07 | The Carpenters |
13 | Nothing's Gonna Change My Love For You (Japanese Bonus Track) | Michael Masser, Gerry Goffin | 3:47 | George Benson |
Toleo la Asia
haririToleo la Bara Asia lilikuwa ba nyongeza CD zilizokuwa na nyimbo kama vile
# | Jina | Mtunzi | Urefu | Asili na |
---|---|---|---|---|
1 | Butterfly Kisses | Bob Carlisle, Randy Thomas | 5:38 | Bob Carlisle |
2 | Nothing's Gonna Change My Love For You | Michael Masser, Gerry Goffin | 3:47 | George Benson |
3 | If | David Gates | 2:42 | Bread |
4 | Solitaire | Neil Sedaka, Phil Cody | 5:07 | The Carpenters |
5 | Still Here | Steve Mac, Wayne Hector | 3:51 | Westlife |
6 | Total Eclipse Of The Heart (Sunset Strippers Remix Radio Edit) |
Jim Steinman | 3:48 | Bonnie Tyler |
Chati
hariri
|
|
Wafanyakazi
hariri
|
|
The Love Tour 2007
haririMarejeo
hariri- ↑ http://www.sonybmg.com.ph/albums.asp?Key=430&cat=88697019822
- ↑ "Westlife beat Oasis, U2 and The Beatles in UK album battle". NME. 2006-11-26. Iliwekwa mnamo 2006-11-26.
- ↑ "IFPI platinum Europe award - 2008". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-05. Iliwekwa mnamo 2010-01-19.
- ↑ Irish chart
- ↑ Irish certification awards
- ↑ Norwegian album chart
- ↑ Official British chart
- ↑ "New Zealan album chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-17. Iliwekwa mnamo 2010-01-19.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|https://web.archive.org/web/20120217201920/http://charts.org.nz/showitem.asp?interpret=
ignored (help) - ↑ "RIANZ". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 2010-01-19.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|https://www.webcitation.org/5wChHAS9r?url=
ignored (help) - ↑ Sweden album chart
- ↑ Australian album chart
- ↑ Dutch album chart
- ↑ Swiss album chart
- ↑ Austrian album chart
Viungo vya nje
haririJua habari zaidi kuhusu Westlife kwa kutafuta kupitia mradi wa Wikipedia Sister | |
---|---|
Uchambuzi wa kamusi kutoka Wikamusi | |
Vitabu kutoka Wikitabu | |
Dondoo kutoka Wikidondoa | |
Matini za vyanzo kutoka Wikichanzo | |
Picha na media kutoka Commons | |
Habari kutoka Wikihabari | |
Vyanzo vya elimu kutoka Wikichuo |