Theodoriko wa Orleans

Theodoriko wa Orleans (kwa Kifaransa: Thierry; alizaliwa Ufaransa, karne ya 10 - Tonnerre, Ufaransa, 27 Januari [[1023]) alikuwa askofu wa mji huo ambaye alifariki katika safari ya kwenda Roma kuhiji makaburi ya Mitume Petro na Paulo [1] na kukimbilia mamlaka ya Papa dhidi ya wapinzani wake.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 27 Januari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Jacques Boussard, « Les évêques de Neustrie, avant la réforme grégorienne (950-1050 environ) », Journal des savants, vol. 3, no 3,‎ juillet-septembre 1970, p. 161-196.
  • Robert-Henri Bautier, « L'hérésie d'Orléans et le mouvement intellectuel au début du xie siècle. Documents et hypothèses », Actes du 95e congrès national des sociétés savantes. Reims 1970. Section philologie et histoire jusqu'à 1610. Tome I : Enseignement et vie intellectuelle, Paris,‎ 1975, p. 63-88.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.