Thomas More
Thomas More (7 Februari 1478 – 6 Julai 1535) alikuwa mwanasheria kutoka Uingereza.
Papa Leo XIII alimtangaza mwenye heri tarehe 29 Desemba 1886, halafu Papa Pius XI alimtangaza kuwa mtakatifu mfiadini tarehe 19 Mei 1935.
Sikukuu yake inaadhimishwa pamoja na ile ya John Fisher tarehe 22 Juni kufuatana na kalenda rasmi ya Kanisa Katoliki[1], na 6 Julai katika Kanisa la Anglikana.
Maisha
haririThomas More alizaliwa katika mji wa London tarehe 7 Februari mwaka 1478.
Alisoma katika Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza, akaoa na kupata watoto wanne.
Aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mahakama wa Uingereza.
Aliandika vitabu kadhaa kuhusu mambo ya kiserikali, na vingine vya kutetea imani ya Kanisa Katoliki.
Pamoja na Mt. John Fisher alishindana na Mfalme Henri VIII kuhusu suala la kuivunja ndoa ya huyo mfalme. Kwa amri ya Henri, wote wawili waliopinga kuvunjwa kwa ndoa yake walifungwa gerezani na kuuawa kwa kukatwa kichwa, kwanza John Fisher tarehe 22 Juni, halafu Thomas More tarehe 6 Julai, mwaka 1535[2].
Sala yake
haririBwana mwema, utujalie neema ya kuyafanyia kazi yale tunayokuomba.
Tazama pia
haririMaandishi yake
haririTanbihi: “CW” inarejelea Yale Edition of the Complete Works of St. Thomas More (New Haven and London 1963–1997)
Yaliyotolewa akiwa hai (mwaka)
hariri- A Merry Jest (c. 1516) (CW 1)
- Utopia (1516) (CW 4)
- Latin Poems (1518, 1520) (CW 3, Pt.2)
- Letter to Brixius (1520) (CW 3, Pt. 2, App C)
- Responsio ad Lutherum (1523) (CW 5)
- A Dialogue Concerning Heresies (1529, 1530) (CW 6)
- Supplication of Souls (1529) (CW 7)
- Letter Against Frith (1532) (CW 7)
- The Confutation of Tyndale's Answer (1532, 1533) (CW 8)
- Apology (1533) (CW 9)
- Debellation of Salem and Bizance (1533) (CW 10)
- The Answer to a Poisoned Book (1533) (CW 11)
Yaliyotolewa baada ya kifo chake(mwaka wa utungaji)
hariri- The History of King Richard III (c. 1513–1518) (CW 2 & 15)
- The Four Last Things (c. 1522) (CW 1)
- A Dialogue of Comfort Against Tribulation (1534) (CW 12)
- Treatise Upon the Passion (1534) (CW 13)
- Treatise on the Blessed Body (1535) (CW 13)
- Instructions and Prayers (1535) (CW 13)
- De Tristitia Christi (1535) (CW 14)
Tafsiri
hariri- Translations of Lucian (many dates 1506–1534) (CW 3, Pt.1)
- The Life of Pico della Mirandola (c. 1510) (CW 1)
Tanbihi
haririMarejeo
haririMaisha
hariri- Chambers, R.W. (1935). Thomas More. Harcourt, Brace.
- More, Cresacre. The Life of Sir Thomas More by His Great-Grandson.[1]
- Brady, Charles A. (1953). Stage of Fools: A Novel of Sir Thomas More. Dutton.
- Basset, Bernard, S.J. (1965). Born for Friendship: The Spirit of Sir Thomas More. London: Burns and Oates.
{{cite book}}
: CS1 maint: multiple names: authors list (link) - Reynolds, E. E. (1964). The Trialet of St Thomas More.
- Reynolds, E. E. (1965). Thomas More and Erasmus.
- Guy, John (1980). The Public Career of Sir Thomas More. ISBN 978-0-300-02546-0.
- Ridley, Jasper (1983). Statesman and Saint: Cardinal Wolsey, Sir Thomas More, and the Politics of Henry VIII. ISBN 0-670-48905-0.
- Marius, Richard (1984). Thomas More: A Biography.
- Wegemer, Gerard (1985). Thomas More: A Portrait of Courage. ISBN 978-1-889334-12-7.
- Ackroyd, Peter (1999). The Life of Thomas More.
- Guy, John (2000). Thomas More. ISBN 978-0-340-73138-3.
- Guy, John (2009). A Daughter's Love: Thomas More and his daughter Meg.
- Berglar, Peter (2009). Thomas More: a lonely voice against the power of the state. New York: Scepter Publishers. ISBN 978-1-59417-073-7.
- Wegemer, Gerard. Thomas More on Statesmanship (1996)
Historia
hariri- Gushurst-Moore, André. "A Man for All Eras: Recent Books on Thomas More" Political Science Reviewer, 2004, Vol. 33, pp 90–143
- Guy, John. "The Search for the Historical Thomas More," History Review (2000) pp 15+
Vyanzo vikuu
hariri- More, Thomas. Yale Edition of the Complete Works of St. Thomas More (New Haven and London 1963–1997) links
- Roper, William. The Life of Sir Thomas More (1556) ed. by Gerard B. Wegemer and Stephen W. Smith (Center for Thomas More Studies, 2003)[2] Ilihifadhiwa 8 Juni 2012 kwenye Wayback Machine.
- More, Thomas. Utopia (Norton Critical Editions) ed. by George M. Logan and Robert M. Adams (3rd. ed. 2010)
- More, Thomas. Saint Thomas More: Selected Writings ed. by John F. Thornton (2003)
- More, Thomas. The Last Letters of Thomas More ed. by Alvaro de Silva (2001)
Viungo vya nje
hariri- The Center for Thomas More Studies at the University of Dallas
- Thomas More Chambers – The Chambers of Mr Geoffrey Cox QC, MP.
- Thomas More Studies database Ilihifadhiwa 20 Juni 2012 kwenye Wayback Machine.: contains several of More's English works, including dialogues, early poetry and letters, as well as journal articles and biographical material
- Works by Thomas More katika Project Gutenberg
- Sir Thomas More, or, Colloquies on the Progress and Prospects of Society at Project Gutenberg
- Sir Thomas More by William Shakespeare (spurious and doubtful works) at Project Gutenberg
- Sir Thomas More: A Man for One Season, essay by James Wood. Presents a critical view of More's religious intolerance
- More and The History of Richard III Ilihifadhiwa 27 Desemba 2002 kwenye Wayback Machine.
- Thomas More and his Utopia by Karl Kautsky
- Thomas More and Utopias Ilihifadhiwa 7 Novemba 2020 kwenye Wayback Machine. – a learning resource from the British Library
- Integrity and Conscience in the Life and Thought of Thomas More by Professor Gerard Wegemer
- "St. Thomas More". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
- Shughuli au kuhusu Thomas More katika maktaba ya WorldCat catalog
- body and head of Thomas More at Find A Grave
- Patron Saints Index entry – Saint Thomas More biography, prayers, quotes, Catholic devotions to him.
- Trial of Sir Thomas More Ilihifadhiwa 5 Juni 2009 kwenye Wayback Machine. at the University of Missouri-Kansas City (UMKC) School of Law
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |