Titus Brandsma, O.Carm. (jina la kuzaliwa: Anno Sjoerd Brandsma; Oegeklooster, Friesland, Uholanzi, 23 Februari 1881 [1]Dachau, Bavaria, Ujerumani, 26 Julai 1942) alikuwa padri Mkarmeli aliyefungwa katika kambi ya maangamizi ya Wanazi ambapo alivumilia kwa utulivu aina zote za maumivu na dharau ili kutetea Kanisa na kulinda heshima ya binadamu, akitoa mifano bora ya upendo kwa wafungwa wenzake na kwa watesi wao wenyewe [2]. Hatimaye alichomwa sindano ya sumu [3].

Picha halisi ya Mt. Titus (miaka ya 1920).

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 3 Novemba 1985, na Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 15 Mei 2022[4].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake[5].

Maandishi yake

hariri

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Rees, Joseph (1971). Titus Brandsma: A Modern Martyr. London: Sidgwick and Jackson. ku. 15–16.
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/90047
  3. "Titus Brandsma: Journalist, martyr, saint of the 20th Century - Vatican News". www.vaticannews.va. 14 Mei 2022. Iliwekwa mnamo 28 Machi 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Pope canonizes Dutch priest, professor Titus Brandsma". NL Times (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-16.
  5. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri
  • Blessed Titus Bransdma (leaflet): The Friars, Aylesford, Kent, UK.
  • Clarke, Hugh. Titus Brandsma (Pamphlet). London: Catholic Truth Society, 1985.
  • Dölle, Constant. Encountering God in the Abyss: Titus Brandsma's Spiritual Journey. Translated by John Vriend. Leuven: Peeters, 2002.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.