Tupac Shakur
Tupac Amaru Shakur (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama 2Pac; mara nyingi aliitwa tu Pac, Makaveli na mwenyewe akajiita The Don Kiluminati; 16 Juni 1971 - 13 Septemba 1996) alikuwa mwigizaji, mwanaharakati wa haki za binadamu, na mwanamuziki maarufu wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Ni mmoja kati ya wasanii wa hip hop waliouza rekodi nyingi za muziki duniani.
Tupac Shakur | |
---|---|
Jina la kuzaliwa | Tupac Amaru Shakur |
Pia anajulikana kama | 2Pac, Pac, Makaveli, MC New York |
Amezaliwa | East Harlem, Manhattan New York City, New York, U.S. | Juni 16, 1971
Amekufa | 13 Septemba 1996 (umri 25) Las Vegas, Nevada, U.S. |
Kazi yake | Rapper, mwigizaji, mtayarishaji wa rekodi, mshairi, mwandishi-skrini, mwanaharakati, mtunzi |
Miaka ya kazi | 1988–1996 |
Studio | Death Row, Interscope |
Ameshirikiana na | Outlawz, Thug Life, Danny Boy, Digital Underground, Dr. Dre, Johnny "J",Ice Cube, Nate Dogg, The Notorious B.I.G., Snoop Dogg |
Wavuti | www.2Pac.com |
Alikuwa mtoto wa Afeni Shakur, mwanachama wa chama cha Black Panther Party. Mama yake Tupac alitolewa jela mwezi mmoja kabla ya kumzaa Tupac. Tupac alikariki baada ya kupigwa risasi akiwa anaendesha gari mjini Las Vegas, Nevada, siku saba kabla ya kifo chake.
Tupac aliwahi kuishikilia Guinness World Record kwa kuwa na mauzo ya juu sana kwa msanii wa muziki wa rap/hip hop. Alipata mauzo takriban milioni 74 kwa hesabu ya dunia nzima na milioni 44 kwa mauzo ya Marekani pekee.
Muziki
haririDiskografia
haririStudio albamu zake
haririMwaka | Albamu | Nafasi iliyoshika [1][2][3][4][5] |
Matunukio [6][7][8] | ||
---|---|---|---|---|---|
US | US R&B | US | CAN | ||
1991 | 2Pacalypse Now | 64 | 13 | Gold | |
1993 | Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z. | 24 | 4 | Platinum | |
1995 | Me Against the World | 1 | 1 | 2× Platinum | |
1996 | All Eyez on Me | 1 | 1 | 9× Platinum | Platinum |
1996 | The Don Killuminati: The 7 Day Theory | 1 | 1 | 4× Platinum | Gold |
Albamu Zilizotolewa Akiwa Kafa
haririMwaka | Albamu | Nafasi iliyoshika [9][10][5] |
Certifications [6][6][8] | ||
---|---|---|---|---|---|
US | US R&B | US | CAN | ||
1997 | R U Still Down? (Remember Me) | 2 | 1 | 4× Platinum | |
2001 | Until the End of Time | 1 | 1 | 3× Platinum | 2× Platinum |
2002 | Better Dayz | 5 | 1 | 2× Platinum | 3× Platinum |
2004 | Loyal to the Game | 1 | 1 | Platinum | |
2006 | Pac's Life | 9 | 3 | ||
2010 | Shakurspeare[11] |
Filamu
haririMwaka | Jina la filamu | Jina alilotumia | Maelezo mengine |
---|---|---|---|
1991 | Nothing But Trouble | Himself | (Brief appearance) |
1992 | Juice | Bishop | First starring role |
1992 | Drexell's Class | Himself | Season 1: "Cruisin'" |
1993 | A Different World | Piccolo | Season 6: "Homie, Don't You Know Me?" |
1993 | Poetic Justice | Lucky | Co-starred with Janet Jackson |
1993 | In Living Color | Himself | Season 5: "Ike Turner and Hooch" |
1994 | Above the Rim | Birdie | Co-starred with Duane Martin |
1995 | Murder Was the Case: The Movie | Himself | (Uncredited) |
1996 | Bullet | Tank | Released one month after Shakur's death |
1997 | Gridlock'd | Ezekiel 'Spoon' Whitmore | Released several months after Shakur's death |
1997 | Gang Related | Detective Rodríguez | Shakur's last performance in a film |
2003 | Tupac: Resurrection | Himself | Official documentary film |
2008 | Live 2 Tell | Himself | Expected in 2008 |
2009 | Notorious | Himself (archive footage) | Portrayed by Anthony Mackie |
2009 | Untitled Tupac Shakur Biopic | Himself | (Announced)[12] |
Marejeo
hariri- ↑ "Discography entry for 2Pacalypse Now at Billboard.com". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-07. Iliwekwa mnamo 2009-02-07.
- ↑ "Discography entry for Strictly 4 My N.I.G.G.A.A. at Billboard.com". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-07. Iliwekwa mnamo 2009-02-07.
- ↑ "Discotraphy entry for Me Against the World at Billboard.com". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-07. Iliwekwa mnamo 2009-02-07.
- ↑ "Discography entry for All Eyez on Me at Billboard.com". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-07. Iliwekwa mnamo 2009-02-07.
- ↑ 5.0 5.1 allmusic ((( 2Pac > Charts & Awards > Billboard Albums ))). Allmusic. Accessed 11 Mei 2008.
- ↑ 6.0 6.1 6.2 "RIAA Gold and Platinum Search for albums by Tupac Shakur". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 2009-09-12.
- ↑ "RIAA Gold and Platinum Search for albums by Makaveli". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 2009-09-12.
- ↑ 8.0 8.1 "CRIA Gold and Platinum database". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-11. Iliwekwa mnamo 2009-09-12.
- ↑ "Discography entry for RU Still Down? (Remember Me) at Billboard.com". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-07. Iliwekwa mnamo 2009-02-07.
- ↑ "Discography entry for Until the End of Time at Billboard.com". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-07. Iliwekwa mnamo 2009-02-07.
- ↑ "Born Busy Records". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-09-23. Iliwekwa mnamo 2009-09-12.
- ↑ Recently announced biopic in the works
Viungo vya Nje
hariri- 2Pac Legacy (Official website)
- Tupac Amaru Shakur Foundation for the Arts
- Tupac Legacy Tour Archived 5 Februari 2012 at the Wayback Machine.
- pacside
- Tupac Nation Archived 21 Novemba 2008 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tupac Shakur kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |