Upanga Magharibi ni jina la kata ya Wilaya ya Ilala katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 11103[1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ya Upanga Magharibi ina wakazi wapatao 9,259 waishio humo [2].

Kata ya Upanga magharibi, kiutawala, ina mitaa mitatu.

  • Mtaa wa Charambe ambao ndipo ilipo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
  • Mtaa wa Mfaume ambao ndipo ilipo ofisi ya makao makuu ya SIDO Tanzania
  • Mtaa wa Fire ambao ndipo kwenye Kituo kikubwa cha Idara ya Zima moto.

Marejeo Edit

  Kata za Wilaya ya Ilala - Tanzania  

BuguruniChanikaGerezaniGongo la MbotoIlalaJangwaniKariakooKimangaKinyereziKipawaKisutuKitundaKivukoniKiwalaniMajoheMchafukogeMchikichiniMsongolaPuguSegereaTabataUkongaUpanga MagharibiUpanga MasharikiVingunguti