Kariakoo ni jina la Kata ya Wilaya ya Ilala katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 11106[1] . Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 13,780 waishio humo.[2]

Sehemu ya Kata ya Kariakoo
Kata ya Kariakoo

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Tanzania" does not exist.Mahali pa Kariakoo katika Tanzania

Majiranukta: 6°49′26″S 39°14′56″E / 6.82389°S 39.24889°E / -6.82389; 39.24889
Nchi Tanzania
Mkoa Dar es Salaam
Wilaya Ilala
Idadi ya wakazi
 - 13,780

Kariakoo inajulikana kutokana na soko kubwa.

Asili ya jinaEdit

Jina la eneo hili ni la kihistoria: linatokana na neno la Kiingereza "carrier corps", yaani kikosi cha wapagazi waliobeba mizigo ya jeshi wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia.

Pande zote vitani walitumia malakhi ya wapagazi waliokodishwa au kulazimishwa kufanya huduma hii.

Baada ya vita wapagazi kadhaa walipewa maeneo ya kujenga nyumba kwenye miji mbalimbali na hivyo majina kama "Kariakoo" au "Kariokor" (Nairobi) yanapatikana katika miji mbalimbali ya Afrika ya Mashariki.

MarejeoEdit

  Kata za Wilaya ya Ilala - Tanzania  

BuguruniChanikaGerezaniGongo la MbotoIlalaJangwaniKariakooKimangaKinyereziKipawaKisutuKitundaKivukoniKiwalaniMajoheMchafukogeMchikichiniMsongolaPuguSegereaTabataUkongaUpanga MagharibiUpanga MasharikiVingunguti