Kivukoni ni kata mojawapo ya Wilaya ya Ilala katika Mkoa wa Dar es Salaam Tanzania, yenye postikodi namba 11101[1].

Eneo la Kivukoni
Soko la samaki huko Kivukoni

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 4,826 waishio humo.[2]

Katika kata hii iko sehemu ya kihistoria ya Dar es Salaam ya zamani za ukoloni, hasa sehemu iliyokuwa ya Ubeberu wakati wa uhuru, pamoja na makanisa ya kihistoria ya kipindi cha mwanzoni mwa umisionari, kama vile kanisa la Mtakatifu Joseph na kanisa la Azania Front.

Marejeo Edit

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01.
  2. 2002 Population and Housing Census General Report (en). Government of Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-02-10. Iliwekwa mnamo 2008-08-21.

Viungo vya nje Edit

  Kata za Wilaya ya Ilala - Tanzania  

BuguruniChanikaGerezaniGongo la MbotoIlalaJangwaniKariakooKimangaKinyereziKipawaKisutuKitundaKivukoniKiwalaniMajoheMchafukogeMchikichiniMsongolaPuguSegereaTabataUkongaUpanga MagharibiUpanga MasharikiVingunguti