Agano Jipya

Barua kwa Tito ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo.

Pamoja na barua mbili kwa Timotheo inaunda kundi la Nyaraka za Kichungaji. Mada za hizo zote ni mafundisho sahihi ya imani na uadilifu wa matendo yanayofuatana nayo.

Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.

Mwandishi hariri

Mwandishi wake ni Mtume Paulo mwishoni mwa maisha yake.

Mlengwa hariri

Mlengwa ni mmojawapo wa wanafunzi wake, ambao aliwashirikisha mamlaka yake wakawa waandamizi wake kama maaskofu wa kwanza.

Awali Tito alikuwa Mpagani (Wagalatia 2:1-3, 2 Wakorintho 8:23).

Viungo vya nje hariri

Tafsiri ya Kiswahili hariri

Ufafanuzi hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya Agano Jipya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waraka kwa Tito kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.