Waraka wa pili kwa Timotheo
Barua ya pili kwa Timotheo ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Ni moja ya kundi la Nyaraka za Kichungaji.
Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.
Mwandishi ni Mtume Paulo akiwa kifungoni Roma kwa mara ya mwisho, muda mfupi kabla ya kukatwa kichwa wakati wa dhuluma (64-67 B.K.) ya Kaisari Nero dhidi ya Wakristo.
Maneno yake ya buriani yanaonyesha tumaini lake ambalo alikabili hicho kifodini.
Viungo vya nje
haririWikisource has original text related to this article: |
Tafsiri ya Kiswahili
haririVingine
hariri- Second Timothy by E.H. Wendland Archived 21 Januari 2012 at the Wayback Machine.
- EarlyChristianWritings.com discussion of 2 Timothy
- EarlyChristianWritings.com further discussion of the Pastorals (on the 1 Timothy page)
Makala hii kuhusu mambo ya Agano Jipya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waraka wa pili kwa Timotheo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |