Westlife (albamu)
Westlife ni albamu kutoka kwa kundi la Westlife, moja ya albamu iliyofanya vizuri katika maeneo mbalimbali. Albamu hii ilitoka tar. 1 Novemba 1999, nchini Uingereza. Albamu hii pia ilijumuisha single tatu ambazo ni "Swear It Again", "If I Let You Go" na "Flying Without Wings", ambapo single zote tatu zilifanikiwa kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya nchini Uingereza. Albamu hii ilingia katika chati na kushika nafasi ya pili, ikiwa na mauzo ya nakala zaidi ya 83,000, wakati kati ya hizo nakala 1,000 ziliuzwa wakati albamu hii ikiwa katika nafasi ya kwanza. Albamu hii ilikuja kutolewa katika nafasi ya kwanza na wimbo wa "Steptacular" ulioimbwa na Steps. Albamu hii ilishika nafasi ya nane kwa upande wa mauzo kwa mwaka 1999 nchini Uingereza. Albamu ya Westlife imefanikiwa kuuza nakala zaidi ya milioni 4 dunia nzima.
Westlife | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Westlife | |||||
Imetolewa | 1 November1999 | ||||
Imerekodiwa | 1998-1999 | ||||
Aina | Pop | ||||
Urefu | 65:32 | ||||
Lebo | Sony BMG (UK) RCA (US) |
||||
Mtayarishaji | Simon Cowell, Steve Mac, Wayne Hector | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Westlife | |||||
|
Albamu ya Westlife ilitoka nchini Marekani mwaka 2000, lakini ikiwa na orodha ya nyimbo tofauti na kuongeza wimbo kama "My Private Movie" uliotayarishwa na Cutfather akishirikiana na Joe.Albamu hii inabaki albamu pekee ya Westlife kuwahi kuingia katika chati ya muziki ya nchini Marekani, ambapo ilishika nafasi ya 129 kati ya nyimbo 200 bora za Billboard. Ilishika nafasi ya #15 nchini Australia. Single ya More Than Words, ilitolewa nchini Brazi na kushika nafasi ya #2.
Mwezi Desemba mwaka huohuo, single za "I Have a Dream" na "Seasons in the Sun" zilishika nafasi ya kwanza kama nyimbo bora za Krismasi kwa mwaka huo, na bado ndizo single zilizowahi kupata mafanikio zaidi katika bendi ya Westlife. Mwezi Machi mwaka 2000, single ya tano na ya mwisho kutoka katika albamu hii Fool Again ilitoka na kufikahadi nafasi ya kwanza. Na kwa sababu hii, Westlife wakawa na single tano kutoka katika albamu moja kufika katika nafasi ya kwanza ndani ya mwaka mmoja, rekodi ambayo bado haijavunjwa hadi hii leo. Albamu hii ilitolewa katika vijiboksi vikiwa na albamu ya Turnaround tarehe 25 Januari 2005 huku kukiwa hakuna kilichabadilishwa katika albamu ya kwanza.
Orodha ya nyimbo
haririWimbo No. |
Jina | Wafanyakazi | Urefu |
---|---|---|---|
1 | Swear It Again |
Mtayarishaji, Mixed By, Keyboards [All] - Steve Mac |
4:12 |
2 | If I Let You Go |
Mixed By, Recorded By [Strings] - Bernard Löhr |
3:45 |
3 | Flying Without Wings |
Performer [Choir Md] - Benny Diggs |
3:39 |
4.1 | I Have A Dream | International Only Track Backing Vocals - Andrew Frampton, Lance Ellington |
4:09 |
4.2 | My Private Movie | US Only Track | 4:07 |
5 | Fool Again |
Drums - John Doe |
3:57 |
6 | No No |
Backing Vocals [Additional] - Max Martin |
3:17 |
7 | I Don't Wanna Fight |
Performer [Choir Md] - Benny Diggs |
5:06 |
8 | Change the World |
Mixed By - Dan Frampton |
3:11 |
9 | Moments |
Producer, Mixed By, Keyboards [All] - Steve Mac |
4:17 |
10 | Seasons in the Sun |
Mixed By - Tim 'Spag' Speight |
4:11 |
11 | I Need You |
Guitar - Mats Berntoft |
3:51 |
12 | Miss You |
Flute - Jan Bengtsson |
3:55 |
13 | More Than Words |
Producer, Mixed By, Keyboards [All] - Steve Mac |
3:56 |
14 | Open Your Heart |
Producer - Jake |
3:40 |
15 | Try Again |
Fiddle - Ulf Forsmark |
3:37 |
16 | What I Want Is What I've Got |
Producer - Rami |
3:33 |
17 | We Are One |
Producer, Mixed By, Keyboards [All] - Steve Mac |
3:44 |
18 | Can't Lose What You Never Had |
Engineer - Pete Lewis |
4:26 |
19 | Story of Love | Japan Only Track | 3:54 |
Asia
haririToleo la Asia la albamu hii lilitolewa na orodha ya nyimbo za awali, lakini na nyongeza ya nyimbo nyingine ambazo hapo baadae zilikuja kujumuishwa katika toleo la Uingereza.
Wimbo No. |
Jina | Urefu |
---|---|---|
1 | I Have A Dream (Remix) | 4.09 |
2 | On The Wings Of Love | 3.22 |
3 | Swear It Again (Rokstone Mix) | 4.49 |
4 | If I Let You Go (Extended Mix) | 5.36 |
5 | That's What It's All About | 3.26 |
6 | Flying Without Wings (Acapella Mix) | 3.25 |
7 | Fool Again (2000 Remix) | 4.08 |
Wafanyakazi
hariri
|
|
Release history
haririCountry | Date |
---|---|
Ufalme wa Muungano | 1 Novemba 1999 |
Australia | 15 Mei 1999 |
United States | 7 Mei 1999 |
Chati
haririNchi | Ilipata nafasi |
Mauzo | Certification |
---|---|---|---|
Ufalme wa Muungano | 2 | 4x Platinum | |
Ireland | 1 | 18x Platinum | |
Indonesia | 1 | 1,000,000+ | 20x Platinum[1][2] |
Philippines | 1 | ||
Norway [3] | 1 | ||
Ubelgiji [4] | 5 | ||
New Zealand [5] | 5 | ||
Sweden [6] | 5 | ||
Netherlands [7] | 8 | ||
Denmark | 12 | ||
Australia | 15 | ||
Switzerland [8] | 25 | ||
Ujerumani | 55 | ||
United States (Billboard 200) [9] |
129 |
Video ya albamu
haririVideo ya albamu hii nayo ilitoka ikiitwa "The Westlife Story" na kushika nafasi ya #15 nchini Uingereza
Viungo vya nje
haririMarejeo
hariri- ↑ [1]
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-24. Iliwekwa mnamo 2010-01-20.
- ↑ Norway Album chart
- ↑ Belgium Official Album Chart
- ↑ "New Zealand Official Album Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-17. Iliwekwa mnamo 2010-01-20.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|https://web.archive.org/web/20120217195422/http://charts.org.nz/showitem.asp?interpret=
ignored (help) - ↑ Official Swedish Album Chart
- ↑ Dutch Official Album Chart
- ↑ Switzerland Official Album Chart
- ↑ allmusic ((( Westlife > Charts & Awards > Billboard Albums )))