Yohane Berchmans (Diest, leo nchini Uholanzi, 13 Machi 1599Roma, Italia, 13 Agosti 1621) alikuwa mtawa katika shirika la Wajesuiti aliyefuata kikamilifu mfano wa Aloysius Gonzaga.

Mt. Jan Berchmans.

Tarehe 28 Mei 1865 alitangazwa na Papa Pius IX kuwa mwenye heri, halafu tarehe 15 Januari 1888 akatangazwa na Papa Leo XIII kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 13 Agosti kila mwaka[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Vyanzo hariri

  • Holweck, F. G.: A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder Book Co., 1924.
  • Hippolyte Delehaye: St John Berchmans, New-York, Benzinger Brothers, 1921, 189pp.

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.