Yohane Sarkander
Yohane Sarkander, S.J. (Skoczów, Silesia, leo nchini Polandi, 20 Desemba 1576 – Olomouc, Moravia, leo nchini Ucheki, 17 Machi 1620) alikuwa padri wa Shirika la Yesu[1][2] aliyeuawa kwa kukataa kutoboa siri ya kitubio hata katika mateso makali ya mwezi mzima aliyoyapata kutoka kwa Waprotestanti[3][4].

Alitangazwa kuwa mwenye heri na Papa Pius IX tarehe 6 Mei 1860, halafu mtakatifu na Papa Yohane Paulo II tarehe 21 Mei 1995.
Tazama pia hariri
Tanbihi hariri
- ↑ Saint Jan Sarkander. Saints SQPN (31 May 2016).
- ↑ Saint John Sarkander. Santi e Beati.
- ↑ St. John Sarkander. Saint Kateri. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-02-15. Iliwekwa mnamo 2021-03-15.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/45825
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Viungo vya nje hariri
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |