Zelia Guerin
Zelia Guerin (Saint-Denis-sur-Sarthon, Orne, Ufaransa, 23 Desemba 1831 - Alençon, Orne, Ufaransa, 28 Agosti 1877) alikuwa mwanamke Mkristo wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko.
Pamoja na mume wake, Louis Martin, alitangazwa na Papa Benedikto XVI kuwa mwenye heri tarehe 19 Oktoba 2008, halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 18 Oktoba 2015.
Ni maarufu hasa kutokana na mtoto wao wa tisa na wa mwisho, mtakatifu Teresa wa Mtoto Yesu, O.C.D., bikira na mwalimu wa Kanisa, aliyeandika vizuri ajabu juu ya uadilifu wao.
Maandishi
haririMwaka 2011 barua 216 za Zélie na 16 za Louis Martin zilitolewa kwa Kiingereza katika kitabu A Call to a Deeper Love: The Family Correspondence of the Parents of Saint Therese of the Child Jesus, 1863–1885 (ISBN 0818913215).
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- THERESIA WA MTOTO YESU, Ua la Upendo, Maisha ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu Aliyoyaandika Yeye Mwenyewe – tafsiri ya J. J. Rwechungura – ed. Paulines Publications Africa – Nairobi 1992 – ISBN 9966-21-021-0
- THEREZA OW’OMWANA YEZU – Akamuli k’engonzi, Oburora bw’Omutakatifu Thereza Ow’omwana Yezu Obwo Yayehandikire Wenene – tafsiri ya J. J. Rwechungura – ed. Marianum Press Kisubi – Kisubi 1960
Viungo vya nje
hariri- Saints Louis and Zelie Martin, the Parents of Saint Therese of Lisieux
- The Shrine of Louis and Zélie Martin in Alençon Archived 7 Desemba 2013 at the Wayback Machine.
- Web site Léonie Martin
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |