622
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 6 |
Karne ya 7
| Karne ya 8
| ►
◄ |
Miaka ya 590 |
Miaka ya 600 |
Miaka ya 610 |
Miaka ya 620
| Miaka ya 630
| Miaka ya 640
| Miaka ya 650
| ►
◄◄ |
◄ |
618 |
619 |
620 |
621 |
622
| 623
| 624
| 625
| 626
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 622 (Baada ya Kristo).
MatukioEdit
- 16 Julai: mwanzo wa Hijra - Muhammad na wafuasi wake wanaondoka Makka kuhamia Madina. Mwaka huu utakuwa mwaka wa kwanza wa Kalenda ya Kiislamu.
- 20 Septemba - Muhammad anafika Madina anapopokelewa vzuri na kuwa kiongozi wa mji pamoja na Umma wa wafuasi wake
- Vita kati ya Uajemi na Bizanti: Kaisari Herakleios anaongoza mashumbulizi ya Waroma.
WaliozaliwaEdit
Kalenda ya Gregori | 2022 MMXXII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5782 – 5783 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2775 |
Kalenda ya Ethiopia | 2014 – 2015 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1471 ԹՎ ՌՆՀԱ |
Kalenda ya Kiislamu | 1444 – 1445 |
Kalenda ya Kiajemi | 1400 – 1401 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2077 – 2078 |
- Shaka Samvat | 1944 – 1945 |
- Kali Yuga | 5123 – 5124 |
Kalenda ya Kichina | 4718 – 4719 辛丑 – 壬寅 |
WaliofarikiEdit
- 8 Aprili: kifo cha Shotoku Kaishi, mwana wa nasaba ya kifalme wa Japani aliyekuwa kati ya wafuasi wa kwanza wa Ubuddha nchini Japani
Wikimedia Commons ina media kuhusu: