Adalardo wa Corbie

Adalardo wa Corbie (751 hivi - 2 Januari 827) alikuwa mjukuu wa Karolo Nyundo kama Karolo Mkuu.

Alijiunga na monasteri na kuwa abati, lakini kwa muda fulani alitakiwa pia kuwa waziri mkuu wa ufalme wa Italia.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Januari[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adalardo wa Corbie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.