Benedikto Yosefu Labre

Benedikto Yosefu Labre (kwa Kifaransa Benoît-Joseph Labré; Amettes, Boulogne-sur-Mer, Ufaransa, 25 Machi 1748 - Roma, Italia, 16 Aprili 1783) alikuwa Mkristo maarufu kwa kuishi miaka mingi bila makao maalumu, akihiji makanisa mbalimbali hasa kwa ajili ya kuabudu ekaristi.

Mtakatifu alivyochorwa na Antonio Cavallucci mwaka 1795.
Mtakatifu Benedict Joseph Labré.
Kanisa la Santa Maria ai Monti alimozikwa.

Alitangazwa na Papa Pius IX kuwa mwenye heri tarehe 20 Mei 1859, halafu Papa Leo XIII akamtangaza mtakatifu tarehe 8 Desemba 1881.

Sikukuu yake ni tarehe 16 Aprili[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. ISBN 0-140-51312-4.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.