Bonifas mfiadini
(Elekezwa kutoka Bonifas)

Kadi ya karne ya 20 ikimuonyesha Bonifas akihama Uingereza.
Bonifas (Lat. Bonifacius "mtenda mwema"), ambaye aliitwa Wynfrith kabla ya kutajiwa na Papa jina hilo jipya Bonifacius, (*673 hivi Crediton, Wessex - + 5 Juni 754 Dokkum) alikuwa mmonaki Mbenedikto kutoka Uingereza aliyetumwa kama mmisionari huko Ujerumani, halafu akawa askofu na hatimaye mfiadini katika Uholanzi wa leo.
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na wengineo kama mtakatifu, akiitwa pengine mtume wa Ujerumani.
Sikukuu yake ni tarehe 5 Juni ya kila mwaka.
Yaliyomo
Sala yakeEdit
Mungu wa milele, kimbilio la wanao wote, katika udhaifu wetu ndiwe nguvu yetu, katika giza letu ndiwe mwanga wetu, katika uchungu wetu ndiwe faraja na amani yetu.
Tazama piaEdit
MarejeoEdit
- Talbot, C. H., ed. The Anglo-Saxon Missionaries in Germany: Being the Lives of S.S. Willibrord, Boniface, Strum, Leoba and Lebuin, together with the Hodoeporicon of St. Willibald and a Selection from the Correspondence of St. Boniface. New York: Sheed and Ward, 1954.
- The Bonifacian vita was republished in Noble, Thomas F. X. and Thomas Head, eds. Soldiers of Christ: Saints and Saints’ Lives in Late Antiquity and the Early Middle Ages. University Park: Pennsylvania State UP, 1995. 109-40.
- Die Briefe des heiligen Bonifatius und Lullus, a cura di M. Tangl, Berlin, 1916
- J. Semmler - G. Bernt - G. Binding, Bonifatius, in Lexikon des Mittelalters, München, 1983
Viungo vya njeEdit
- "St. Boniface, Archbishop of Mentz, Apostle of Germany and Martyr", Butler's Lives of the Saints
- Wilhelm Levison, Vitae Sancti Bonifatii
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bonifas mfiadini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |